Bus Booking Mobile App

Mobile App / App ya Simu

A mobile application software or "mobile app" is an application software designed to run on a mobile device such as smartphones and tablet computers like iPads.  / App ya simu ni software ya kompyuta ambayo imetengenezwa mahususi ili kutumika katika vifa vya kiganjani kama simu na kompyuta aina ya tablet ikiwa ni pamoja na iPad.

The main purpose and advantage of mobile app is simplification of the tasks which should be run on a mobile device to retrieve information or run an application. Apps provide a "one click" shortcut to desired function. The Bus Online Booking Service has developed its own app called "Bus_Booking App" which after download and installation will provide a "one click" access to the Online Booking Service. / Sababu ya kuwepo na ndiyo kazi kubwa ya App ya Simu ni kurahisisha kazi zinazotakiwa kufanywa katika kifaa cha kiganjani kwa ajili ya kupata taarifa au kufanya kazi fulani. App ya simu inakupa njia ya mkato kupata au kufanya unachokihitaji. Huduma ya kufanya booking za mabasi kwa mtandao imetengeneza App zake zinazoitwa "Bus Online Booking" na "Bus_Booking" ambazo zitakuwezesha kupata huduma hiyo kirahisi zaidi kwa kuzibonyeza mara moja tu. 

There are two types of Apps - Android App for mobile devices using Android operating system, and iPhone App for mobile devices using iOS operating system. Following below are installation instructions for both types of Apps: / Kuna aina mbili za App kutegemeana na aina ya simu -> App ya Android kwa ajili ya simu zinazotumia software ya android, na -> App ya iPhone kwa simu na tablets zinazotumia software ya iOS. Yafuatayo ni maelezo ya namna ya kuiweka hiyo App ya Simu katika kifaa chako.

1. For Installing an Android App from Browser: / Maelezo ya kuweka App ya Android:

Please follow these steps to install the "Bus Online Booking" App on your Android Device. To start with, please ensure that the "Unknown sources" box is checked (in the browser) to allow installation of non-Market applications. / Tafadhali fuata maelezo yafuatayo ili kuweka App ya Simu iitwayo "Bus Online Booking" katika kifaa chako kinachotumia software ya android. Kwanza kabisa hakikisha kisanduku kilichoandikwa "Unknown Sources" kimewekwa tiki ili kuruhusu. Kama hukioni endelea na ukubali maswali yote utakayoulizwa mbele.

a) On the Main Menu select "App" then "Android". / Kwenye Menyu chagua "App" halafu "Android".

b) A file will be downloaded to your Android mobile device. / Faili litapakuliwa na kuwekwa katika kifaa chako cha android. 

c) Tap to install while accepting all questions and ignoring all warnings and the app will be installed onto your device. / Bofya kuweka huku ukikubali maswali yote na kutotilia maanani maonyo yanayojitokeza.

2. For Installing your iPhone App from Safari Browser: / Maelezo ya kuweka App ya iPhone:

Please follow these steps to install the "Bus_Booking" App on your iOS device: / Tafadhali fuata maelezo yafuatayo ili kuweka App ya Simu iitwayo "Bus_Booking" katika kifaa chako kinachotumia software ya iOS.

a) On the Main Menu select "App" then "iPhone". / Kwenye Menyu chagua "App" halafu "iPhone".

b) Click the "Launch" button which will open a dialog box to install the App. / Bofya kitufe cha "Launch" na kitafunguka kisanduku cha kukubali kuweka hiyo App.

c) Tap install and the app will then install onto your iPhone. / Bofya na mchakato wa kuweka hiyo App kwenye kifaa chako utaanza.

d) If you are getting "Untrusted App Developer" message when trying to run the App on iPhone then click Settings >> General >> Device management >> choose "Onsinteractive Solution Pvt Ltd" >> Tap "Trust Onsinteractive Solution Pvt Ltd" >> Tap "Trust" in the pop up >> Try running the app again and it should work. / Baada ya hiyo App ya Bus_Booking kuwekwa kwenye kifaa chako, ukijaribu kuifungua inaweza kukuambia "Untrusted App Developer" na kutoendelea. Kwenye kifaa chako hicho bofya Settings >> General >> Device management >> chagua "Onsinteractive Solution Pvt Ltd" >> bofya "Trust Onsinteractive Solution Pvt Ltd" >> bofya "Trust" >> Jaribu kuifungua hiyo app tena na itafanya kazi bila matatizo.

© Copyright 2017 Kicheko Ltd, All rights reserved