Benefits of Booking Online

12 Benefits of Booking Online / Faida 12 za Kufanya Booking kwa Mtandao

1. You save time which you would have otherwise use to travel to a booking office. Remember that your time is valuable. Even more time is lost because of traffic queues. There is no need to leave your important duties just to go to a booking office while you can book your trip and pay for your ticket from anywhere. / Unaokoa muda wa kusafiri hadi ofisi ya kufanya booking. Kumbuka muda wako una thamani. Wakati wa foleni muda mrefu zaidi unapotea njiani. Usiache shughuli zako muhimu kwa ajili ya kwenda kufanya booking wakati unaweza kufanya booking na kulipia tiketi yako ukiwa mahali popote.

2. You save costs and expenses to reach booking office which include daladala/matatuu fare, taxi fare, bajaj, boda boda or fuel costs for personal car driving. / Unaokoa gharama ya kwenda hadi ofisi ya kufanya booking na kurudi ikiwa ni pamoja na nauli ya daladala/matatuu, taxi, bajaji, boda boda au mafuta kwa anayetumia gari lake binafsi. 

3. You are guaranteed to travel on the date and time of your choice. No more guessing whether you will get a bus with available seat or not. / Unapata uhakika wa safari siku na wakati unaotaka wewe mwenyewe.

4. You are guaranteed to buy your ticket by paying a legally approved fare. / Unapata uhakika wa kukata tiketi kwa kulipa nauli iliyo halali bila kulanguliwa.

5. You are guaranteed to travel on the seat of your choice. / Unapata uhakika wa kupata kiti unachokipenda na kuchagua mwenyewe.

6. You are able to do booking from anywhere even while travelling away from home or office and even from abroad. / Unapata uwezo wa kufanya booking ukiwa mahali popote hata kama uko safarini au nje ya nchi.

7. You are able to do booking at any time even at night or on weekends or holidays. You do not have to wait for working hours of the booking office. / Unapata uwezo wa kufanya booking wakati wowote hata kama ni usiku au siku ya mapumziko. Si lazima kusubiri masaa ya kazi ya ofisi ya booking.

8. You avoid hussles of "tauts" and ticket raketeers. You are always guaranteed to pay the legally approved fare. / Unaepuka adha ya "Wapiga Debe" na walanguzi wa tiketi. Utalipa gharama halisi na halali.

9. Your security and security of your funds is enhanced by the fact that you do not need to move around with lots of cash on your way to a booking office. / Usalama wa fedha na malipo yako kwa sababu hulazimiki kutembea na fedha nyingi mfukoni kwenda kufanya booking ofisini.

10. Ease of booking. The service is available in both English and Swahili. / Urahisi wa kufanya booking. Huduma ipo kwa Kiswahili na Kiingereza.

11. You get a one touch easy access to online booking by downloading and installing a free "App" on your phone. The App is available for both iPhone and Android type of phones and tablets. / Unapata urahisi zaidi wa kufanya booking kwa kupakua na kuweka "App" ya bure katika simu yako. App zipo kwa simu na tablet aina ya iPhone na Android.

12. You become a modern person going with time in this era of science and technology. / Unakuwa mtu wa kisasa unayekwenda na wakati katika zama hizi za sayansi na teknolojia.

© Copyright 2017 Kicheko Ltd, All rights reserved