Privacy Policy

Privacy Policy / Sera ya Faragha

What information do we collect? / Taarifa zipi tunakusanya?
We collect information from you when you register on our site, make a booking with Bus Online Booking Service or fill out a form. / Tunakusanya taarifa kutoka kwako wakati unapojisajili, unapofanya booking kwa kutumia huduma ya kufanya booking za mabasi kwa mtandao au wakati unapojaza fomu.

When registering on our site or making a booking, as appropriate, you may be asked to enter your: name, e-mail address or phone number. You may, however, visit our site anonymously. / Wakati unapojisajili au kufanya booking, unaweza kuulizwa kuingiza jina lako, anuani ya barua pepe, au namba ya simu. Lakini pia unaweza kutembelea tovuti yetu kimya kimya bila kujitambulisha.

What do we use your information for? / Tunatumiaje taarifa zako?
Any of the information we collect from you may be used in one of the following ways: / Taarifa yoyote tunayokusanya toka kwako inaweza kutumiwa kwa namna moja kati ya hizi:

·      To personalize your booking: your information helps us to better serve your individual needs for a booking and ticket. / Kutambua booking yako: taarifa zako zinatusaidia kukutambua na kufanya booking na kukata tiketi kwa ajili yako.
·      To improve our website: we continually strive to improve our website offerings based on the information and feedback we receive from you. / Kuboresha tovuti yetu: tunajitahidi kila mara kuboresha huduma zinazotolewa kupitia tovuti yetu kwa kutumia taarifa, maoni na mrejesho tunaopata kutoka kwako.
·      To improve customer service: your information helps us to more effectively respond to your customer service requests and support needs. / Kuboresha huduma kwa wateja: taarifa zako zinatusaidia kujibu mahitaji yako na mahitaji ya usaidizi kama mteja kwa njia bora zaidi.
·      To process transactions: your information, whether public or private, will not be sold, exchanged, transferred, or given to any other company for any reason whatsoever, without your consent, other than for the express purpose of delivering requested booking and purchased ticket. / Kuchakata malipo: taarifa zako, ziwe binafsi au za wazi, hazitauzwa, wala kubadilishwa, wala kuhamishwa, au kupewa kampuni yoyote kwa sababu yoyote ile, bila idhini yako, isipokuwa kwa minajili ya kufanikisha booking na tiketi yako.
·      To send periodic emails: the email address you provide for order processing, may be used to send you information and updates pertaining to your order, in addition to receiving occasional company news, updates, related product or service information, etc. / Kukutumia barua pepe: barua pepe uliyoandika wakati wa kufanya booking, inaweza kutumika kukutumia taarifa za booking na safari yako pamoja na mara chache kukutumia taarifa za kampuni zinazohusiana na bidhaa zetu, taarifa za huduma, nk.

How do we protect your information? / Tunalindaje taarifa zako?
We implement a variety of security measures to maintain the safety of your personal information when you place an order or enter, submit, or access your personal information. / Tumechukua hatua kadhaa za kiusalama ili kuhakikisha usalama wa taarifa zako binafsi wakati unapofanya booking au unapoingia katika tovuti yetu na kutazama taarifa zako.

We offer the use of a secure server. All supplied sensitive/credit information is transmitted via Secure Socket Layer (SSL) technology and then encrypted into our Payment gateway providers database only to be accessible by those authorized with special access rights to such systems, and are required to keep the information confidential. / Tunatumia kompyuta na mawasiliano yaliyo salama. Taarifa zote muhimu zinazokuhusu zinasafirishwa kwa kutumia teknolojia ya SSL na kubadilishwa kwa namna ambayo haisomeki nje ya hizo kompyuta mbili zinazowasiliana na kupelekwa katika mfumo wa kampuni inayochakata malipo ambako zinaweza kusomwa na wale tu wenye mamlaka ya kufanya hivyo kwa ajili ya kukamilisha mchakato wa malipo baada ya kula kiapo cha usiri.

After a booking, your private payment information (credit cards, etc.) will not be stored on our servers. / Baada ya booking kukamilika, taarifa zako binafsi kuhusiana na malipo (kama vile kadi, nk) hazitahifadhiwa katika kompyuta zetu.

Do we use cookies? / Tunatumia vinasa taarifa?
We do not use cookies in our system. / Hatutumii vinasa taarifa katika mfumo wetu.

Do we disclose any information to outside parties? / Tunatoa taarifa kwa watu wa nje?
We do not sell, trade, or otherwise transfer to outside parties your personally identifiable information. This does not include trusted third parties who assist us in operating our website, conducting our business, or servicing you, so long as those parties agree to keep this information confidential. We may also release your information when we believe release is appropriate to comply with the law, enforce our site policies, or protect ours or others rights, property, or safety. However, non-personally identifiable visitor information may be provided to other parties for marketing, advertising, or other uses. / Hatuuzi, wala kufanyia biashara, wala kuhamisha taarifa zinazokutambulisha wewe binafsi. Hii haijumuishi watu na kampuni zinazotusaidia kuendesha tovuti yetu, kufanya biashara yetu, au kutoa huduma kwako endapo watakubali kula kiapo cha usiri. Tunaweza pia kutoa taarifa zako kama tutaamini kuwa utoaji huo ni muafaka ili kutii sheria, kusimamia sera za matumizi ya tovuti na huduma yetu, au kulinda haki yetu, malizetu au usalama wetu. Lakini, taarifa ambazo hazikutambulishi wewe binafsi kama mtembeleaji wa tovuti yetu zinaweza kutolewa kwa ajili ya shughuli za masoko, matangazo, zinginezo.

Third party links / Viunganisho vya tovuti nyingine
Occasionally, at our discretion, we may include or offer third party products or services on our website. These third party sites have separate and independent privacy policies. We therefore have no responsibility or liability for the content and activities of these linked sites. Nonetheless, we seek to protect the integrity of our site and welcome any feedback about these sites. / Mara chache, kama tutakavyoona inafaa, tunaweza kujumuisha au kupendekeza viunganisho vya tovuti nyingine zenye bidhaa au huduma za kampuni nyingine katika tovuti yetu. Hizo tovuti nyingine zina sera zake za faragha zinazojitegemea ambazo ni tofauti na za kwetu. Kwa hiyo hatuhusiki wala kuwajibika na maudhui na shughuli za tovuti hizo. Hata hivyo, kwa kuwa tunataka kulinda hadhi ya tovuti yetu, tunakaribisha mrejesho kuhusu tovuti hizo.

Childrens Online Privacy Protection Act Compliance / Sheria ya Kulinda Faragha ya Watoto Mtandaoni
We are in compliance with the requirements of COPPA (Childrens Online Privacy Protection Act) and do not collect any information from anyone under 13 years of age. Our website, products and services are all directed to people who are at least 13 years old or older. / Tunakidhi matakwa ya Sheria ya Kimataifa ya Kulinda Faragha ya Watoto Mtandaoni (COPPA) na hatukusanyi taarifa kutoka kwa mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 13. Tovuti yetu, bidhaa na huduma zetu zinalenga na kuelekezwa kwa watu ambao wana walau miaka 13 au zaidi.

Your Consent / Ridhaa Yako
By using our site, you consent to our websites privacy policy. / Kwa kutumia tovuti yetu, unaridhia na kukubali sera zetu za faragha.

Changes to our Privacy Policy / Mabadiliko ya Sera zetu za Faragha
If we decide to change our privacy policy, we will post those changes on this page. / Kama tukiamua kubadili sera zetu za faragha, tutachapisha hayo mabadiliko katika ukurasa huu.

Contacting Us / Mawasiliano
If there are any questions regarding this privacy policy you may contact us by using the "Contact" page which can be accessed from the main menu. / Kama kuna maswali yoyote kuhusu hii sera ya faragha unaweza kuwasiliana nasi kwa kutumia ukurasa wa "Contact" unaoweza kufikiwa katika menyu kuu.

© Copyright 2017 Kicheko Ltd, All rights reserved